benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Kupitia kurasa rasmi za Wizara ya Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetoa taarifa ya mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yameomba kwa hiyari na kwa mujibu wa sheria kufutiwa usajili na Wizara imetangaza kufuta usajili wa taasisi hizo.
Katika orodha hiyo limo jina la Mo Dewji Foundation yenye namba za usajili 00NGO/R/2446 ambalo mi miongoni mwa taasisi zilizofutiwa usajili hivyo kuanzia tarehe 25 Oktoba 2023 taasisi hiyo haina mamlaka ya kufanya kazi nchini Tanzania.