Kigwangala ni mnafiki tu na mtu mbinafsi ccm kuna madudu kibao mbona hayasemi bungeni anaishia kugonga meza tu hivi katiba mpya na transformation ya simba ipi ni muhimu kwa taifa ccm ina matatizo mengi kuliko simba ajabu anahangaika na ya simba badala ya mambo ya ccm rubbish .