Mo Dewji hana mpango wa kuijenga upya Simba bali anaibomoa aichache kama alivyoikuta

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu.

Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu.

Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote.

Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa moyo ili waondoke tu.

Hslafu wanakuja wachezaji wa mishahara nafuu kabisa ila umma utapotoshwa kuwa ni ghari.
Kuna mchezaji ghana alikuwa analipwa milion alafu tutaambiwa tunamlipa m 12 kumbe atakunja m 3tu.
Dogo wa Zambia atalipwa m 2.5 za bongo kutoka laki saba kwao.

Simba itakuwa mbovu mbovu mno
 
Mimi ni mshabiki wa Simba sc damu damu..ila huwa najiuliza muhindi na uwekezaji kwenye mpira wap na wap..Mo kuwa na pesa nyingi haimaanishi atatumia pesa nyingi kuafanya Simba sc iwe bora,wahindi wanaasili ya ubahili ni kama wachina hawafai..muhindi awekeze kwenye viwanda vya pilipili, biscuits n.k mchina apambane na barabara na simu..ila hizi race za wazungu,waarabu na wafrika wakiwa na pesa wanaweza kuwekeza vizuri kwenye mpira n.k na sio wabahili aisee...wanaroho za kitajiri..
 
Mazembe haina kikosi cha gharama na wala hailipi mishahara mikubwa ila inacheza nusu fainali za caf champions league mara kwa mara. Na hata msimu huu imefika nusu. Huku simba na yanga zinazolipa hela nyingi hazijawai

Mpira wa africa una hesabu zake.

Mamelodi ana kikosi cha bilioni 90 ila anatolewa kila msimu na timu za bei nafuu. Na msimu huu kafungwa na esperence nje ndani na huku gharama ya kikosi cha esperence hakifikii hata robo ya gharama ya kikosi cha mamelodi

Mo dewji anafata hesabu.
 
H
Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu.

Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu.

Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote.

Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa moyo ili waondoke tu.

Hslafu wanakuja wachezaji wa mishahara nafuu kabisa ila umma utapotoshwa kuwa ni ghari.
Kuna mchezaji ghana alikuwa analipwa milion alafu tutaambiwa tunamlipa m 12 kumbe atakunja m 3tu.
Dogo wa Zambia atalipwa m 2.5 za bongo kutoka laki saba kwao.

Simba itakuwa mbovu mbovu mno
Simba kweli wamepoteza muelekeo
 
Mazembe ipi yenye kikosi cha bei rahisi? Mpira ni pesa acha maneno
 
Mazembe haina kikosi cha gharama na wala hailipi mishahara mikubwa ila inacheza nusu fainali za caf champions league mara kwa mara. Na hata msimu huu imefika nusu. Huku simba na yanga zinazolipa hela nyingi hazijawai

Mpira wa africa una hesabu zake.

Mamelodi ana kikosi cha bilioni 90 ila anatolewa kila msimu na timu za bei nafuu. Na msimu huu kafungwa na esperence nje ndani na huku gharama ya kikosi cha esperence hakifikii hata robo ya gharama ya kikosi cha mamelodi

Mo dewji anafata hesabu.
Mazembe ina kikosi cha bei rahisi,jidanganye tu
 
mmaaa...ma.... ajiiii... mmaji

aisee !! walivyosema mpaka waseme sikuelewa ila sasa naanza kuona
 
Msio elewa iko hivi

simba awana mashabiki wapya wala wanaoongeza vyazo vya mapato, this year wapo shirikisho pesa ni ndogo, uwezi over spend kwa shirikisho. wajipange upya na cheap good players. then waludi mchezoni. kama yanga.

mo tapeli tu ni swala la mda. ila yule kaka yake ndo simba mwenyewe.

Lastly. Yanga mwaka huu wanapiga one last punch ya caf champions league ndo maana wamejipanga sana. let's hope iwalipe waweke historia.
 
Na ukapuku wako, simba ikiwa mbovu itakusaidia nini katika ukapuku wako
 
Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu.

Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu.

Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote.

Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa moyo ili waondoke tu.

Hslafu wanakuja wachezaji wa mishahara nafuu kabisa ila umma utapotoshwa kuwa ni ghari.
Kuna mchezaji ghana alikuwa analipwa milion alafu tutaambiwa tunamlipa m 12 kumbe atakunja m 3tu.
Dogo wa Zambia atalipwa m 2.5 za bongo kutoka laki saba kwao.

Simba itakuwa mbovu mbovu mno
Ichukue timu uendeshe wewe. Wabongo kwa gubu hamjambo.
 
Mnamchamba Mo wkt nyie wenyewe kuendesha tuu familia ya watu 4 mmeshindwa....
Tutoleeni mavitambi yenu...
 
Back
Top Bottom