Mo Dewji hana mpango wa kuijenga upya Simba bali anaibomoa aichache kama alivyoikuta

Mo Dewji hana mpango wa kuijenga upya Simba bali anaibomoa aichache kama alivyoikuta

Mimi ni mshabiki wa Simba sc damu damu..ila huwa najiuliza muhindi na uwekezaji kwenye mpira wap na wap..Mo kuwa na pesa nyingi haimaanishi atatumia pesa nyingi kuafanya Simba sc iwe bora,wahindi wanaasili ya ubahili ni kama wachina hawafai..muhindi awekeze kwenye viwanda vya pilipili, biscuits n.k mchina apambane na barabara na simu..ila hizi race za wazungu,waarabu na wafrika wakiwa na pesa wanaweza kuwekeza vizuri kwenye mpira n.k na sio wabahili aisee...wanaroho za kitajiri..
Inawezekana mwaka 2003 ulikuwa hujui chochote kuhusu Mo kumwaga hela hadi Simba ikacheza makundi klabu bingwa na pia hujui kuwa pesa zake za kibahili ndio zimechora ramani ya ubora wa vilabu vya Tanzania kwa kuifanya Simba kuingia top 10 ya vilabu bora Afrika na kuleta ushawishi kwa Yanga nao kuiga mafanikio hayo kwa kujenga kikosi bora cha ushindani kimataifa
 
Aliyesababisha MO kuwa hivi ni Bashite.
MO alikuwa ni mtu mwenye upendo na mcheshi.

Bashite amesababisha mabaya mengi, hata kifo cha Manji.
 
Back
Top Bottom