William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Sawa Dogoujinga mtupu.
Huyu tushamtema kitambo au ulimansha baba askariSawa Dogo
Yeah Baba AskariHuyu tushamtema kitambo au ulimansha baba askari
Simba kweli wamepoteza muelekeoHayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu.
Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu.
Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote.
Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa moyo ili waondoke tu.
Hslafu wanakuja wachezaji wa mishahara nafuu kabisa ila umma utapotoshwa kuwa ni ghari.
Kuna mchezaji ghana alikuwa analipwa milion alafu tutaambiwa tunamlipa m 12 kumbe atakunja m 3tu.
Dogo wa Zambia atalipwa m 2.5 za bongo kutoka laki saba kwao.
Simba itakuwa mbovu mbovu mno
Mazembe ipi yenye kikosi cha bei rahisi? Mpira ni pesa acha manenoMazembe haina kikosi cha gharama na wala hailipi mishahara mikubwa ila inacheza nusu fainali za caf champions league mara kwa mara. Na hata msimu huu imefika nusu. Huku simba na yanga zinazolipa hela nyingi hazijawai
Mpira wa africa una hesabu zake.
Mamelodi ana kikosi cha bilioni 90 ila anatolewa kila msimu na timu za bei nafuu. Na msimu huu kafungwa na esperence nje ndani na huku gharama ya kikosi cha esperence hakifikii hata robo ya gharama ya kikosi cha mamelodi
Mo dewji anafata hesabu.
Mazembe ipi yenye kikosi cha bei rahisi? Mpira ni pesa acha maneno
Mazembe ina kikosi cha bei rahisi,jidanganye tuMazembe haina kikosi cha gharama na wala hailipi mishahara mikubwa ila inacheza nusu fainali za caf champions league mara kwa mara. Na hata msimu huu imefika nusu. Huku simba na yanga zinazolipa hela nyingi hazijawai
Mpira wa africa una hesabu zake.
Mamelodi ana kikosi cha bilioni 90 ila anatolewa kila msimu na timu za bei nafuu. Na msimu huu kafungwa na esperence nje ndani na huku gharama ya kikosi cha esperence hakifikii hata robo ya gharama ya kikosi cha mamelodi
Mo dewji anafata hesabu.
Acha kutumia hisiaMazembe hii. Kikosi chao ni bei rahisi kuliko cha yanga na simba
Ichukue timu uendeshe wewe. Wabongo kwa gubu hamjambo.Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu.
Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu.
Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote.
Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa moyo ili waondoke tu.
Hslafu wanakuja wachezaji wa mishahara nafuu kabisa ila umma utapotoshwa kuwa ni ghari.
Kuna mchezaji ghana alikuwa analipwa milion alafu tutaambiwa tunamlipa m 12 kumbe atakunja m 3tu.
Dogo wa Zambia atalipwa m 2.5 za bongo kutoka laki saba kwao.
Simba itakuwa mbovu mbovu mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnamchamba Mo wkt nyie wenyewe kuendesha tuu familia ya watu 4 mmeshindwa....
Tutoleeni mavitambi yenu...