Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamiliki viwanda 41 na kuhusu Utanzania wake sina shaka nao kwa vile anaongea Kiswahili kizuri kuliko Wakenya wote humu ndani.Wahindi watawatafuna muishee
Tanzania siyo nchi ya ukabila kama huko Kenya. Dewji ni raia wa kuzaliwa Tanzania.Wahindi watawatafuna muishee
kenya wahindi wasomali nk wapo wengi sana mkuu...Tanzania siyo nchi ya ukabila kama huko Kenya. Dewji ni raia wa kuzaliwa Tanzania.
Ila akiwa Mkenya huku hakukaliki............kila siku tunakumbushwa jinsi tunavyo milikiwa na Wahindi. lol.Anamiliki viwanda 41 na kuhusu Utanzania wake sina shaka nao kwa vile anaongea Kiswahili kizuri kuliko Wakenya wote humu ndani.
una akili sana ww mbantu!Sijawahi mshabikia huyu mnyonyaji mjanjamjanja tu..