Mo Dewji kafanikiwa pakubwa sana kuishika Simba SC

Unaweza kuwa na ujumbe mzuri lakini lugha ya kipuuzi ikaharibu hoja.Kanjibhai ndiyo kitu gani?Huo ni ubaguzi,kutoheshimiana na kutawaliwa na wivu/umasikini.
 
mtani akisimangwa waziwazi na kanjibahi Mo dewji.

Wenye Simba Yao wanaijua vizuri kukuzidi.
 
Siku hizi mafanikio yenu ni kufika robo fainali. Zile story zenu za kusema "muhimu timu inashinda na kuleta makombe" hazipo tena. Maana makombe yote siku hizi yanabebwa na Yanga.
Yanga imebeba kombe gani ambalo Simba wanajivunia robo fainali yake? Mafanikio ya Yanga ni ndani ya nchi, huko nje ya mipaka hakuna anayeitambua Yanga, hata Nabi siku anatambulishwa alipotoa speech alisema anashukuru kujiunga na Simba !
 
Mafanikio ni makombe hayo makombe ya kimataifa ni yapi simba amebeba
 
Siku hizi mafanikio yenu ni kufika robo fainali. Zile story zenu za kusema "muhimu timu inashinda na kuleta makombe" hazipo tena. Maana makombe yote siku hizi yanabebwa na Yanga.
Hivi ile miaka minne mliyotoka kapa, mlikuwa mnaishije? Hayo makombe "yote" mliyobeba, ni kwa miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…