NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
Hongera sana Kama nabbi alikukosha ukafurahi sanaYanga imebeba kombe gani ambalo Simba wanajivunia robo fainali yake? Mafanikio ya Yanga ni ndani ya nchi, huko nje ya mipaka hakuna anayeitambua Yanga, hata Nabi siku anatambulishwa alipotoa speech alisema anashukuru kujiunga na Simba !