NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 10,587 Reaction score 13,425 Apr 11, 2023 Thread starter #41 Lupweko said: Yanga imebeba kombe gani ambalo Simba wanajivunia robo fainali yake? Mafanikio ya Yanga ni ndani ya nchi, huko nje ya mipaka hakuna anayeitambua Yanga, hata Nabi siku anatambulishwa alipotoa speech alisema anashukuru kujiunga na Simba ! Click to expand... Hongera sana Kama nabbi alikukosha ukafurahi sana
Lupweko said: Yanga imebeba kombe gani ambalo Simba wanajivunia robo fainali yake? Mafanikio ya Yanga ni ndani ya nchi, huko nje ya mipaka hakuna anayeitambua Yanga, hata Nabi siku anatambulishwa alipotoa speech alisema anashukuru kujiunga na Simba ! Click to expand... Hongera sana Kama nabbi alikukosha ukafurahi sana