MO Dewji Kashaichoka SIMBA yupo tu Kwaajili ya Brand ya Bidhaa zake Nothing else

MO Dewji Kashaichoka SIMBA yupo tu Kwaajili ya Brand ya Bidhaa zake Nothing else

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Mo kashaichoka Simba ndo maana kuna mambo mengine haangaiki nayo kabisa na aliamua kujitoa kwenye uwenyekiti mapema kabisa hii ikionyesha kashaichoka Simba.

Na yupo Simba kwasababu ya kukuza brand ya bidhaaa zake na sio kingine.

Na ukiangalia ameuza wachezaji wote wazuri tena kwa mpunga mrefu tu na kashapata chake katulia tuli cz hela aliyowekeza kwenye timu imerudi.

Simba imebak na wachezaji ambao washaumaliza mwendo [emoji21]
 
Wenye aklli walisema mapema wakapigwa kila kona
 
Wapi Mo energy! Mo 29! Mo Xtra! Mo Arena! Mo Biriani! Mo fc!! Kutoka kushiriki Klabu Bingwa, mpaka Kombe la Shirikisho!!
 
Na uzuri kawahi kujitoa mapema mana leo angeandamwa yeye tu,,, walimwengu hawaishi unafki, kajiengua na bado anapewa lawama
 
Back
Top Bottom