barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Yanga kumbe mnafuatilia kimya kimya eeeh!!Eti ni first club East and Central Africa kuwa na mfumo huu.
Dah, kazi kweli kweli!
Bado ni mtuhumiwa upelelezi wa kesi haujakamilika bado yupo jelaAveva vipi anaendeleaje
Usiwe unatoa comment kama nguruwe pori njoo na analysis kuonesha timu zingine zenye mfumo wa uendeshaji wa club kama huu then u criticizeEti ni first club East and Central Africa kuwa na mfumo huu.
Dah, kazi kweli kweli!
Hata ingeuzwa kwa baniani sisi tunataka ushindi na burdaniTimu ishauzwa tayari kwa ponjoro
Ndala bhana, naona mnafuatilia sana hii ishu.Timu ishauzwa tayari kwa ponjoro
Bado nyie washabiki wa Simba tutawapeleka Libya mkauzwe hukoHata ingeuzwa kwa baniani sisi tunataka ushindi na burdani
Baba yako akiwa nguruwe pori, usidhani ni kila mtu. Hijo de puta!Usiwe unatoa comment kama nguruwe pori njoo na analysis kuonesha timu zingine zenye mfumo wa uendeshaji wa club kama huu then u criticize
Tafakari mwenyewe.Sasa unabisha ama...?
Hivi kukodisha kwa timu ya Ndala FC kama masufuria ni lini? Maana Simba SC tayari imeuzwa.Timu ishauzwa tayari kwa ponjoro
Hapo ndipo.. This is SimbaMo rasmi kashinda tenda!!!
Bidhaa imeuzwa Mkuu. Acha wenye mali wafanye yao sasa.Hivi kukodisha kwa timu ya Ndala FC kama masufuria ni lini? Maana Simba SC tayari imeuzwa.
Kwenu lini? Maana Simba SC atapambana nani sasa?Bidhaa imeuzwa Mkuu. Acha wenye mali wafanye yao sasa.
Mbao, Ndanda, Maji maji nkKwenu lini? Maana Simba SC atapambana nani sasa?