joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wazee wa simba, makomando watakula wapi na bwana dewji akileta watu wake wasomi na wenye ueledi mkubwa atawaua viongozi wazushi wa simba mfano manara na hapo fujo ndipo huanzia, manake wengine kula yao ipo Simba ,ila MO anania nzuri ila viongozi wenye njaa ,wataiyumbisha club,ngojea tuone