MO Dewji: Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Huu ujumbe alioandika MO Dewji ukurasani X unawahusu Sana Wanachama wa Chadema na viongozi wao waliong'ang'ania madarakani.

"Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa na Wakati wa kufa, Wakati wa kupanda na Wakati wa kung'oa yaliyopandwa" Muh 3:1-2

Chadema zingatieni wosia huu wa Mwekezaji namba 1 nchini MO Dewji.
 
Mo huwa anapenda sana Kutumia bible kuwasilisha jumbe zake hapo najua anawasilisha kwa wale waswahili wanaojua kuendesha team ni kama kupiga danadana uswahili mwingi Sasa atawaachia zuwena wao ili msimu ujao wamalize 4
 
Yohana atika ubora wake!
Kumbe na yeye ni mchokozi😄
 
Unawahusu sana CCM ambao wanaiba kura ili kuendelea kutawala.
 
Yohana MO Dewji inabidi abatizwe haraka sana
 
Bwashee huwa unashinda ukimuwaza Mbowe na Chadema tu. Hata ukiwa unakunywa mataputapu yako hapo kilabuni unaiwaza chadema tu
 
Wakae mezani wamalize tofauti zao, kila mtu ana haki ya kupata anachostahili/ matunda ya jasho lake.
Tusimlaumu Mo tumsikilize kwenye haki tutoe
MO kamwaga sana Hela wale mbugila wanajiita Wajumbe waulize wametoa kiasi gani kununua Mchicha wa timu watu wale?
 
Ngoja tuone ila nadhani ipo shida mahali kwani Simba haifanyi vizuri kabisa
 
Ngoja tuone ila nadhani ipo shida mahali kwani Simba haifanyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…