Mo Dewji kwenye cover la Forbes Africa la mwezi huu

Mo Dewji kwenye cover la Forbes Africa la mwezi huu

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Yule mwanamichezo, tajiri"msela" anayejichanganya na watu anayeipenda team yake na kusababisha ndani ya miaka hi minne kutisha Africa hadi kuiwezesha nchi ya Tanzania kuingiza teams 4 mara mbili amewekwa tena kwenye cover la Forbes Africa sambamba na tajiri mwenzake Dangote

Tajiri huyo ambaye kajizolea chuki kubwa kwa watu fulani aliowanyima raha kwa miaka 4 mfululizo ni miongoni mwa matajiri wakubwa barani Afrika aliyesababisha baadhi ya matajiri wa level za Tanzania kuungana na kumkodi MTU FULANI kumtukana MO kila siku kwenye mitandao ya kijamii wakitarajia apanick ila ndo kwanza Jamaa huyo anaendelea kupuuzwa kiasi kwamba haijulikani kama mkataba huo wa kumtukana MO aliyepewa huyo jamaa utaendelea ama vipi

BIG UP MO DEWJI live your life kuwa tajiri haikufanyi ukiwa na furaha usishangili na wana simba wenzako hata kama ni jezi vua punga hewani ni jambo jema hausikilizi maneno ya yule mercenary aliyekodiwa kukutukana 24/7

mo forbes.jpg
 
Mo ndiye aliyempa manara umaarufu kwa pesa zake, baada ya kujulikana akaanza kutukana na kukejeli awezavyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom