Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..