Baniani hata kama angezaliwa chini ya ziwa tanganyika hawezi kuwa mzalendo kwa tanganyika mtu mwenyewe hata kiswahili hawezi huo uzalendo ni upi acha kujitoa ufahamu. Nyie ndio mkwawa aliwau maana mlikua mnampa siri mjeruamaniMwenzako kazaliwa Singida na ameshawatumikia watu wake nikukumbushe tu wafanyakazi wengi ni watanzania
Wewe umerithi nini kwenu? Au watoto wako watarithi nini toka kwako?Mo mshamba na bwege tu
Hana haiba nadhani hata hizo mali ni kwa vile nizakurithi
Jinga kabisa
🏃🏃🏃🏃Wewe umerithi nini kwenu? Au watoto wako watarithi nini toka kwako?
Acha kua na fikra za kimasikini,Wahindi wana sucessful plan,watoto huendeleza mali za familia kuliko kila mmoja kuanza moja na ndio maana wanakua matajiri.
Ndugu tambua amewekeza kwa faida yake na si ya taifa japo nalo linafaidika kwa kodi ..ila kwa roho ile hata hiyo afanyaje tu. Hana uzalendo ni upambanaji na ubinafsi uliopindukiaKuwekeza hapa nchini ni uzalendo tosha kabisa achana na furaha hii wanayopata wanasimba na watanzania Kwa ujumla
Bila kuwa mbinafsi unawezaje kuwa na mafanikio kama ya MO, Unadhani angeshindwa kuchukua uraia Pacha??!!..angekua siyo mzalendo si angeenda kudhamini au kuwekeza kwenye nchi nyingine Kwa fedha alizokua nazoNdugu tambua amewekeza kwa faida yake na si ya taifa japo nalo linafaidika kwa kodi ..ila kwa roho ile hata hiyo afanyaje tu. Hana uzalendo ni upambanaji na ubinafsi uliopindukia
Uraia pacha nchi yetu ya kizalendo hairuhusu kwani ukishachukua uraia nchi nyingine tayari umeshaukana utanzania pia Bongo kuna fursa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa ndo maana dangote kaja sio uzalendo ni utafutaji tu.Bila kuwa mbinafsi unawezaje kuwa na mafanikio kama ya MO, Unadhani angeshindwa kuchukua uraia Pacha??!!..angekua siyo mzalendo si angeenda kudhamini au kuwekeza kwenye nchi nyingine Kwa fedha alizokua nazo
Na kuiwezesha simba akianzia babu yake akaja baba yake akaja mjombake na sahv niyeye afu kigagura toka mitaro ya kando kando mwa mji anakuja kumletea mtu maneno mbofumbofu eti nimeiinua timu kwa maneno uiinue timu.Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Kuwa muwezeshaji akufanyi I we sababu ya kukosa utu na kubehave like fool ajifunze kwa wawekezaji wengine wa Mpira dunianiNa kuiwezesha simba akianzia babu yake akaja baba yake akaja mjombake na sahv niyeye afu kigagura toka mitaro ya kando kando mwa mji anakuja kumletea mtu maneno mbofumbofu eti nimeiinua timu kwa maneno uiinue timu.
Utumwa kutwa kujikomba kwa matajiri.Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
A.k.a MudyMwamedi king of janjajanja
Akawaulize wananchi wa jimbo lake, wakati akiwa mbunge wao yaani maji tu ilikuwa ni tabu mno, licha ya utajiri wake, na hata ukifuatilia yuko mbali sana na jamii kwenye misaada!!baniani hawezi kuwa mzalendo never ..huyo uzalendo wake ni pakistan
Waafrika huwa kama wamekata kichaa ... mtu baniani mnasemaje mzalendo wakati hata kiswahili haweziAkawaulize wananchi wa jimbo lake, wakati akiwa mbunge wao yaani maji tu ilikuwa ni tabu mno, licha ya utajiri wake, na hata ukifuatilia yuko mbali sana na jamii kwenye misaada!!
Ki ukweli katika matajiri ambao hawana msaada kwa jamii ya kitanzania ni Mo!!angalia kina Sabodo, Patel(marehemu)kuna huduma za jamii nyingi sana walichangia lakini Mo, yaani kuwekeza simba ambayo ni biashara anaonekana ni bonge la mzalendo!!Waafrika huwa kama wamekata kichaa ... mtu baniani mnasemaje mzalendo wakati hata kiswahili hawezi
Huyu ana wafanyakazi au utopolo😅😅😅 sema Mo anamiliki deiwaka wake anaowalipa buku 6/6 per dayMwenzako kazaliwa Singida na ameshawatumikia watu wake nikukumbushe tu wafanyakazi wengi ni watanzania
Acha kumchukia mtu na kuongea uongo. Mo anawasomesha watz zaidi ya 100 ngazi ya chuo nje na ndani ya tz na bado ana wasaidia watoto wanaougua saratani. Km hujafanya uchunguzi usimpakazie mtu. Mo foundation unajua kazi yake..? Hiki ulichoandika ni uongo wenye chuki tafuta hela Mo ndio mtu wasekta binafsi aliye ajiri watanzania wengi aisee jitathiminiKi ukweli katika matajiri ambao hawana msaada kwa jamii ya kitanzania ni Mo!!angalia kina Sabodo, Patel(marehemu)kuna huduma za jamii nyingi sana walichangia lakini Mo, yaani kuwekeza simba ambayo ni biashara anaonekana ni bonge la mzalendo!!
Utu upi.alioukosa..? Kusimamia maadili ni kukosa utu..? Kila taasisi ina code of conduct ambazo lazima kila mtu azisimamie. Katika kuisimamia simba manara na anaowavwatukia nani alikua na mamlaka kuzidi mwenzie..? JitambueKuwa muwezeshaji akufanyi I we sababu ya kukosa utu na kubehave like fool ajifunze kwa wawekezaji wengine wa Mpira duniani
Ndio ajira hiyo Ndugu lazima mshahara uanzie chini kuja juuHuyu ana wafanyakazi au utopolo😅😅😅 sema Mo anamiliki deiwaka wake anaowalipa buku 6/6 per day
Unajua kajiunga IST akitokea shule gani?!!..MO kasoma IST(Int. school of Tanganyika) halafu mtu anakuja kusema kasoma shule za serikali.