Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe hakuna anayetujali tena.
Kipindi cha JPM ilikuwa ni sifa kuwa mnyonge, na aibu kuwa tajiri mnyonyaji. Ila siku hizi imekuwa in aibu kuwa mnyonge na ufahari kuwa tajiri mnyonyaji.
Kipindi cha JPM ilikuwa ni sifa kuwa mnyonge, na aibu kuwa tajiri mnyonyaji. Ila siku hizi imekuwa in aibu kuwa mnyonge na ufahari kuwa tajiri mnyonyaji.