Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Kwani huko kuna nini si maeneo ya mji au wanakatazwa kutembea huko kisa wao wanyonge unataka kusema Bakhresa na Mo hawajawahi kupita Buguruni?wanyonge hawa hawa wanao enda riverside na kimboka?
Kuna list moja ilichapishwa ya mabilionea wa kila state Marekani, yani mtu tajiri kabisa katika kila state.Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe hakuna anayetujali tena.
Kipindi cha JPM ilikuwa ni sifa kuwa mnyonge, na aibu kuwa tajiri mnyonyaji. Ila siku hizi imekuwa in aibu kuwa mnyonge na ufahari kuwa tajiri mnyonyaji.
Mo na bakheresa komaaeni hapo hapo msiachie maamae. Kina haja gani ya kusaidia wanyonge kama kina Lucas Mwashambwa na Dennis Robert Shughuru?Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe hakuna anayetujali tena.
Kipindi cha JPM ilikuwa ni sifa kuwa mnyonge, na aibu kuwa tajiri mnyonyaji. Ila siku hizi imekuwa in aibu kuwa mnyonge na ufahari kuwa tajiri mnyonyaji.
HAMNA HELA HAPO. Wabongo huwa atuamini kama HAO maboss wanamikopo MPAKA basi SI tunamjua nizao TU kumbe mambo ni tofauti ALAF HIZO PESA SIO keshi wanazo.Kuna list moja ilichapishwa ya mabilionea wa kila state Marekani, yani mtu tajiri kabisa katika kila state.
Sasa kuna mkazi mmoja wa state ya Delaware akawa analalamika kuwa state yao ina bilionea masikini, yani katika mabilionea wa Marekani, bilionea wao alikuwa wa mwisho mwisho.
Nikasema na mimi nimekuwa nikimlaumu Mo Dewji ka sign the giving pledge lakini sioni akitoa sana nje ya michezo, kumbe inawezekana na sisi tuna "bilionea masikini" ππ.