Azam alishafeli kwa kuiga siasa za simba na yanga, ila angekua anachukua mataji, anafanya vizuri mashindano ya CAF mashabiki wengi tungehamia kwake!Kweli kabisa ila shida inaanzia hapa'Simba na Yanga ndo timu pekee ambazo hawa wafanya biashara wanaweza kupata pesa,kumbuka hata mzee Backheresa alitaka kuwekeza Simba ilhali kuna timu ya mwanae Azam f.c.
Ukisikia Mo au gsm anakwambia maneno kama'najitolea kwasababu naipenda Simba/Yanga'waongo awajitolei,kama kujitolea zipo timu hata maji ya wachezaji hawana,wangeenda kujiyolea kwenye izo timu dhoofu lhali.Simba na Yanga wana funbase nchi nzima mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.
Umeongea point mkuuHizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili).
Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote.
Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mtu hachangii hata mia kwenye timu ila anamtukana mfadhili aliyetoa bilioni 41 kwa kipindi cha miaka 4 tu.
African Lion'sMo ilimshinda Singida united
Uko sahihi,lakini hawa matajiri wanataka faida.akijiingiza Yanga au Simba pesa zake zinarudi mapema kabisa.akianzisha timu yake atachelewa na hatopata faida kwasababu atakua anatoa sana pesa kuhudumia timu kuzidi anachoingiza.Azam alishafeli kwa kuiga siasa za simba na yanga, ila angekua anachukua mataji, anafanya vizuri mashindano ya CAF mashabiki wengi tungehamia kwake!
kuna kampuni imewahi kufanya utafiti wa loyalty in sports especially football, wakagundua only 15% ya mashabiki ni loyal, wengine hufuata mafanikio, na hii ina apply hata bongo!
kama liverpool, utd na arsenal zimepoteza mashabiki kwa city na chelsea, bila shaka hata Azam angekua serious tusingekua hapa........ tatizo wabongo tunaendesha timu kisiasa kisha tunaishia kuilaumu tff
Kweli kuna kipindi nilikuwa bujumbura na Kigali Simba inamashabiki wanaifuatiliaKweli kabisa ila shida inaanzia hapa'Simba na Yanga ndo timu pekee ambazo hawa wafanya biashara wanaweza kupata pesa,kumbuka hata mzee Backheresa alitaka kuwekeza Simba ilhali kuna timu ya mwanae Azam f.c.
Ukisikia Mo au gsm anakwambia maneno kama'najitolea kwasababu naipenda Simba/Yanga'waongo awajitolei,kama kujitolea zipo timu hata maji ya wachezaji hawana,wangeenda kujiyolea kwenye izo timu dhoofu lhali.Simba na Yanga wana funbase nchi nzima mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.
Ushauri mzuri sana huu,kilichomkuta Haji kinaweza kuja kumkuta Mo pia,
Time will tell.
na African LyonMo ilimshinda Singida united
Kuvunja mkataba kama akiondolewa Simba,vp kama akikerwa na kuamua kuondoka tu yeye mwenyewe?Nikwambie ukweli MO ataondoka Simba kwa kufikwa na mauti tu si jengine! Ili aondoshwe Simba ni lazima alipwe hela za kuvunja Mkataba, kumbuka Mkataba wake umesainiwa kwa kuweka 20B, hizo 20B alizoweka zitatafunwa ndani ya miaka 2 tu zitakwisha, sasa hapo MO atakapo dai fidia ya 50B za kuvunjiwa Mkataba ndiyo kasheshe! Nakuhakikishia huu Mkataba wa Mo ndiyo basi tena hakuna wa kuuvunja isipokuwa MO mwenyewe agawe hisa zake.
Azam inahaha kutafuta mashabiki na wapenzi hapa ndipo kwenye ugumu hao wachezaji wenyewe wa azam au mtibwa sugar ni aidha yupo simba au yanga pia kila mtanzania ni lazima yupo simba au yanga,zoezi la kuacumulate wapenzi watimu kindaki ndaki huweza kuchukuwa mpaka miaka 50 na zaidiMkianzisha timu zenu ligi yetu itakuwa na timu tano kubwa:
1.Yanga
2.Simba
3.Azam
4.Mo FC
5. GSM FC
Bila kuwasahau Mtibwa na Kagera Sugar.
aya ya kwanza upo sahihi, lakini pia ukiwa na timu bora hata watu walete fitna bado unashinda tu, maana siku hizi tunaona waamuzi wako vizuri tofauti na zamani....Kuna timu ilikuja Dar kucheza na Yanga mwaka fulani,wakapokelewa na Simba,wakala vizuri,wakalipwa stahiki zao ili wakaze,na kweli wakakaza Yanga wakashindwa kupata ushindi.utailaumu bure Azam ilhali mpira wa bongo ni fitna kwanza na fitna zipo mikononi mwa Simba na Yanga.Uko sahihi,lakini hawa matajiri wanataka faida.akijiingiza Yanga au Simba pesa zake zinarudi mapema kabisa.akianzisha timu yake atachelewa na hatopata faida kwasababu atakua anatoa sana pesa kuhudumia timu kuzidi anachoingiza.
Huwezi kupata mashabiki bila kushinda matajiAzam inahaha kutafuta mashabiki na wapenzi hapa ndipo kwenye ugumu hao wachezaji wenyewe wa azam au mtibwa sugar ni aidha yupo simba au yanga pia kila mtanzania ni lazima yupo simba au yanga,zoezi la kuacumulate wapenzi watimu kindaki ndaki huweza kuchukuwa mpaka miaka 50 na zaidi