Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apology accepted, albeit with reservation:
Kuonesha rejea haitoshi. Mwandishi anapaswa kuomba ruhusu ya kutafsiri na kutumia makala husika kwanza. Hivyo Mheshimiwa MO awaandikie kuwaomba kufanya hivyo.
P.S. Pia aache ku-plagiarize jina la MO Ibrahim - just kidding though!
Afu wewe sio ndio KING ku-plagiarize.
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine......Big Up!, hats off man...you didn't hide and cry,
You stood up, like a REAL MAN!,
give the guy a break...
he stood up and accepted his mistake and has apologised to the forum...
Kuna more important things to be addressed...
Mo we all learn through mistakes....
Jamani issue hapa ni kubwa kuliko wengi wetu tunavyodhani. Angekuwa Mag3 ka plagiarize halafu kaomba msamaha, pengine msamaha wa haraka ungemake sense. Huyu Mh. Mo ni mbunge na aligombea ubunge ili awe na nafasi nzuri ya kuungana na wananchi waliomchagua kulisukuma gurudumu la maendeleo na kuwakilisha bungeni matatizo yanayokwamisha kwa namna moja au nyingine jitihada hizo. Ndio maana katika kuchangia mada yake nilimwuliza kwa nini aligombea ubunge na toka amechaguliwa ni juhudi zipi amefanya kulifikisha swala la matatizo ya umeme bungeni. Nikamwuliza tena kwa nini aligombea ubunge kwa sera za CCM ambazo zimeshindwa kutatua matatizo ya umeme na badala yake tunaishia kukimbizana na matapeli na mitambo yao.
Mh. Mo, Mbunge wa CCM wa Singida badala yake ametaka kutafuta umaarufu na kujijenga kisiasa kwa kupitia mgongo wa mtandao wa JF. Bahati mbaya ni kuwa gea aliyoingia nayo pia ikawa ile ile inayoitafuna CCM na serikali yake ya kujivika sifa za kilaghai zisizo na mshiko. Kwanza, Mh. Mo ni moja wa wabunge ambao wako mstari wa mbele kuunga mkono miswada yote ya serikali hata kama haina maslahi kwa wananchi. Pili, Mh. Mo kila mara ameungana na wenzake kupinga mapendekezo yoyote yale yenye faida kwa wananchi mradi tu yametoka upinzani. Tatu, kwa hili tendo lake ameonyesha tabia iliyokithiri katika uongozi wa nchi ya kudharau mwiba, sasa tende lamwuumbua.
Karibu tena Mh. Mo ila tread carefully, hii ni JF - mtu hakopeshwi hapa.
nilkienda deeper zaidi ya hii incident, nikiangalia trends na concepts, mo ni part ya uongozi wa kidanganyifu na hii plagiarism ni tip of the iceberg tu, ni part ya uongozi mzima uliozoea fraud, unaoweka umuhimu katika the appearance kuwa tunafanya kitu kuliko kufanya kitu. ndio uongozi huu huu ulioiba kura certainly zanzibar na kumrudisha komandoo kwenye power illegally - wakuu wa usalama wenyewe wameniambia hili, halina mjadala kwa wanaojua, baba nyerere, the mantle of decency bongo, alii rape democracy tanzania- sasa unategemea nini kutoka kwa mo.
Jamaa ameomba msamaha, upokelewe
bluray
hayo maneno kwenye bold ni mazito sana na ndiyo yanayofanya watu wawe hivyo.
Yani tatizo hapa sio plagiarism kabisa tatizo ni udanganyifu
mo angeweza kuyaongelea matatizo ya umeme tz kwa maneno yake mwenyewe vizuri sana, angejaza page 2 easily, lakini yeye alitaka killer article ambayo ingemuonyesha yeye ni nani.
ni sawa sawa na wale viongozi wenye degree wananunua phd fake.