Mo Dewji na plagiarism kutoka NY Times

Plagiarism ni kosa kubwa lakini tujiulize ni watu wangapi hapa tanzania wanafanya "dhambi" hii? Hivi hamjui kuwa wapo watu wengi hapa tanzania tena in hundreds ambao thesis au dissertations zao ziwe za masters au phd wamefanyiwa na watu wengine? kazi kwenu watanzania.
 
Apology accepted, albeit with reservation:

Kuonesha rejea haitoshi. Mwandishi anapaswa kuomba ruhusu ya kutafsiri na kutumia makala husika kwanza. Hivyo Mheshimiwa MO awaandikie kuwaomba kufanya hivyo.

P.S. Pia aache ku-plagiarize jina la MO Ibrahim - just kidding though!
 


Afu wewe sio ndio KING ku-plagiarize.
 


give the guy a break...
he stood up and accepted his mistake and has apologised to the forum...
Kuna more important things to be addressed...
Mo we all learn through mistakes....

Wengi wameonekana kuridhika tayari.





Hoja yako imeziba pengo. I salute you!



Na wewe Bluray,
Kwa hiyo kauli ya "sasa unategemea nini", unataka kutuambia nini hasa?

Kama utapenda kubadili kauli yako, karibu sana!
 
Mo dewji aliamua kujitoa jf kimoja kabisa hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…