MO Dewji: Nataka kuwekeza bilioni 20 Simba

Binafsi sikubaliani na MO kupewa simba, hii lugha anayosema Leo ni lugha ya kuvutia tu sio uhalisia.. Atueleze kwa nini alishindwa kwa African Lyon...!
Mo hajaanza mapenzi na Simba leo, Alidhamini miaka ile ya 2000-2006 na tulifanya vizuri saana.

Hilo la African Lyon alishalielezea. Hivi unafikiri Mo anataka Simba ili atajirike?
 
Mo hajaanza mapenzi na Simba leo, Alidhamini miaka ile ya 2000-2006 na tulifanya vizuri saana.

Hilo la African Lyon alishalielezea. Hivi unafikiri Mo anataka Simba ili atajirike?
Hawa ndo wasiosoma alama za nyakati.. wanadhani bado tuko miaka ya 1990
 
Huyo aveva mwenyewe uwanjan hatumwon kwa mechi za simba yuko kwenye mishe zake mpen mo timu nyie shangaeni tu, mtazishangilia mo bejaia sana tu
 
Timu ikifanya vizuri, inapata mashabiki.. MO usikufanye usione ukweli.. Leicester city imetoa wapi mashabiki
 
Tatizo lenu mnaleta siasa ktk soka.Sasa hivi mpira ni biashara sio brah brah.
 
Binafsi sikubaliani na MO kupewa simba, hii lugha anayosema Leo ni lugha ya kuvutia tu sio uhalisia.. Atueleze kwa nini alishindwa kwa African Lyon...!

Hakushindwa,Kule hakuna mashabiki maana kila mtoto akizaliwa hata kashozi bukoba anakuwa shabiki wa Simba au Yanga
 
Mo kama mwanachama ana wazo zuri... Ila kama mwekezaji anaingilia mchakato wa kumpata mwekezaji kwa kuweka pressure kwa viongozi na wanachama kwa kutumia current situation ya tim ya Simba... Angetoa wazo aka kaa pembeni ili kama wazo likipita wawekezaji wengine wajitokeze na bid zao mna kushindana na apatikane mmoja mwenye bid kubwa (nzuri)...
 
MO nia yake ni nzuri lakini approach anayoitumia ndio inaleta wasiwasi,kibaya zaidi yeye ana amini hela ndio kila kitu
 
leicester haina mashabiki Tanzania. Trust me wale ni mashabiki wa kuazima. si mashabiki real. ukiwauliza mashabiki wao wtakwambia ni wa man u,chelsea,arsenal na liverpool. kupata mashabiki ni kazi kubwa sana sivyo kama mnavyofikiri. azam kiuhalisia ina mashabiki wangapi nchini? tuseme ukweli.

Timu ikifanya vizuri, inapata mashabiki.. MO usikufanye usione ukweli.. Leicester city imetoa wapi mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…