Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii
Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼
======
Mohamed Dewji ameandika:
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa familia yake, ndugu, jamaa, na marafiki wote. Tanzania ni nchi ya amani, umoja, na upendo, na vitendo vya ukatili havina nafasi katika jamii yetu. Tuendelee kujenga mshikamano, upendo, na amani.Roho ya Bw. Ali Kibao ipumzike kwa amani. Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un
Kila aiana ya lawama tulimwelekeza Mwenda zake kwa haya mauji ya Watanzania wasio na hatia...Mama alitaka kutuaminisha mwanzo wa utawala wake ila sasa hali siyo na ccm ni ile ile.