Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba ina mashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4 (Tsh bilioni 10.2) kwa mwaka mmoja na kwa miaka yote mitano nimepoteza Dola za Marekani milioni 20 (Tsh bilioni 51)"

Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji akizungumza kwenye Podcast ya Ahmed Mahmood.

Screenshot_20240229-151050.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
...Amepoteza B 51 kwa miaka 5. Amepoteza, kwa maana ni hasara. Na bado tu yupo. Mwaka wa kwanza amepoteza B 10.2, wa pili B 10.2, wa tatu halikadhalika, na mwaka wa nne, na watano na bado yupo ina maana yupo tayari kupoteza tena mwaka wa sita!!!

Hii ni janja janja, kweli wajinga ndio waliwao!!!
 
Hivi juzi juzi tu hapa Simba si ilitangaza faida, sasa iweje mmliki apate hasara...au hii video clip imerekodiwa miaka ya nyuma?
 
Back
Top Bottom