cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ila Makonda jamani, kwann anakua hivi?Ni kweli alilazimishwa na Makonda kipindi kile Simba imepoteza kwenye FAINALI ya Mapinduzi.
Aliambiwa mara ile tumekuvalisha kanga safari hii tunakuvisha bikini na picha juu.
Kama ingekuwa ni wewe si ingekubidi uwe mpole tu?