BILIONEA Mohamed Dewji Mo amethibitisha rasmi kuwa Klabu ya Simba aliinunua miaka 5 iliyopita na ndio kitu cha gharama kwake kukinunua[emoji3578]Ohhohh!! Sio zile 20 tena? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira ni gharama sanaHuyu mhindi anatuchukuliaje?
Quality players, technical bench na safari za teamBili 10 kila mwaka kwa matumizi gan? Au ndio propaganda kama kawaida.
Quality players gani hao wa kuokota okota amaQuality players,,,, technical bench na safari za team
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
...Amepoteza B 51 kwa miaka 5. Amepoteza, kwa maana ni hasara. Na bado tu yupo. Mwaka wa kwanza amepoteza B 10.2, wa pili B 10.2, wa tatu halikadhalika, na mwaka wa nne, na watano na bado yupo ina maana yupo tayari kupoteza tena mwaka wa sita!!!
Hii ni janja janja, kweli wajinga ndio waliwao!!!
Huyu jamaa ni tajiri wa ajabu sana. Analalamika kwa matumizi aliyoyafanya kwa hiyari.Akiona makolo wanataka kuvuka hatua ya robo tu anajitokeza kuongelea pesa alizowekeza ukoloni.
Hapo anatengeneza mazingira ya kuchota pesa.Huyu jamaa ni tajiri wa ajabu sana. Analalamika kwa matumizi aliyoyafanya kwa hiyari.
Tena mpango wa kuwekeza simba aliuanzisha yeye mwenyewe tangu 2003.
Ndio timu ikiingia robo c inapata fungu ndio anataka kulipiga chap.Hapo anatengeneza mazingira ya kuchota pesa.