Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Simba kwa sasa haiwezi kukosa uwekezaji.
Kumbuka wakati wa kuuza hisa sio MO peke yake aliyetaka kuwekeza Simba.
Kiukweli MO hana furaha kuendelea kuwekeza Simba.
Na sifahamu ni kwanini haondoki.
Maneno yake yanaanza kuwakera Wana Simba na asipojirekebisha watamtimua katika namna ambayo hairidhishi sana.
Kuisemasema Simba kila mala ni kama kuisimanga timu na wanachama wake, hii ni kuendelea kuwaumiza Wana Simba jambo ambalo sio afya kwa wanamichezo kwa ujumla wake.
 
Je mnaweza kumtimua sasa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwani zile 26 billion za mdhamini mama bet zinafanya kazi gan

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Angalia gharama ya usafiri na salarys, timu inavyosafiri na hapa inapolala do you think hizo 26 zinatosha?

Bado hazitoshi je hizo zingine zinatoka wapi?

Hisa za wanachama mpaka Leo zimenunuliwa ngapi?

Let's say ww ni mwanachama wa Simba je umelipa sh ngapi kununua zile hisa 51?
 
Viingilio vya mashabiki...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Jitihada za dhati zinafanyika Kulazimisha tatizo sehemu ambayo haina tatizo.
Kupanda kwa Yanga sio lazima umshushe Simba.
Kufanikiwa kumshusha adui yako, haimaanishi kuwa wewe ndiyo utakuwa juu.
Waache waupake upepo rangi
 
Ndugu zangu yaani kama kesho ikitokea mkadroo au mkapigwa ,mjiandae na domo la Mo.
 
Yanga na Simba wamefikia kiwango walichonacho kwa uwekezaji wa GSM na Mo.
Timu ni biashara
 
Umtimuwe mmiliki? Hivi unajuwa kama Try again amewekwa na Mo asimamie maslahi yake?
 
Tajiri mwenye gubu.
 
Ila mie wananishangaza sana wabongo, team ikiachiwa wanachama, inasua sua na kupitisha bakuli, mwekezaji akiwepo akitumia gharama zake na team ikapata mafanikio, akisema wazi ni nongwaa khaaaa.

Sema MO aache uswahili na yeye khaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…