Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Ni kweli alilazimishwa na Makonda kipindi kile Simba imepoteza kwenye FAINALI ya Mapinduzi.
Aliambiwa mara ile tumekuvalisha kanga safari hii tunakuvisha bikini na picha juu.

Kama ingekuwa ni wewe si ingekubidi uwe mpole tu?
Ila Makonda jamani, kwann anakua hivi?
 
Kigwangwala alishayaona yote Aya na akawa anawaeleza ukweli mkawa mna mchukia.
Sasa atakapo amua ku uza share zake na kuamishia madeni yake kwa Tajiri mwingine wa michezo ya kriketi ndipo ghafla mtapokua timu ya mchezo wa kriketi bila kupenda.
Huyo Kigwangala si aichukue team yeye bas? Au alikuwa wapi ikiwa inauzwaa? Alishindwa nn kuzuia na uwezo anao?

Aache unafiki wake.
 
Mo ni tajiri sana na ninamuheshimu sana kwa hilo ila ana uswahili sana wa kutaka kuongelewa kama kina Harmonize.
 
🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…