Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Leo sina neno kuhusu mchakato wa mabadiliko ya umiliki wa Simba ila niseme tu katika kipindi hiki cha miaka 5, Simba rank yake Afrika imeruka juu sana.

Simba imezifunga sana timu kongwe Afrika hadi leo inaonekana ni jambo la kawaida, kuna msimu ilivuka hatua ya makundi kwa kuongoza kundi mbele ya vigogo akiwemo bingwa mtetezi, na msimu huu siku chache zijazo inaenda kuvuka hatua ya makundi kwa kumtoa mashindanoni mmoja wa vigogo.

Nadhani Mo ana mchango wake katika haya mafanikio.
 
Hahahahahaha...aisee nimeamini yasemwayo mitandaoni
 
Anavumilia coz yeye pia ni shabiki ndaki ndaki wa Simba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yaah ni kweli mkuu bila hawa wadhamini mambo ingekuwa ngumu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…