Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Wee mi nilikua ndani kwangu bana..sema hatukula usiku siku hyo..walikula wtt tuu...
Ila kesho yake nikakumbuka 6 kwa sufuri tuliyowalamba na ile 5 kwa 0 basi nikasema hivi naumia nini? Kutesa kwa zamu
Siku nzima nilikuonea huruma [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji81][emoji81]kumbe na kuuzwa wamesha uzwa bhna ndo maana makolo yame kua mengi hadi mo kiberiti kwenye jezi
 
Bili 10 kila mwaka kwa matumizi gani? Au ndio propaganda kama kawaida.
Simba imeingiliwa. Imevamiwa na tapeli aitwa MO. Hana mapenzi na Simba yeye yuko kibiashara. Alisema wanaSimba mumsamehe kama Simba hawatachukua kombe lolote mwaka huu. Bahati nzuri Simba wakachukua Ngao ya hisani. MO alishtuka na ndio maana wakati Simba anakaribia kucheza na Yanga MO akaunda kamati ambayo ilifanikisha Simba kupigwa 5. Baada ya hapo MO akafadhili maandamano ya kushinikiza Mangungu afukuzwe uongozi. Jamani wanaSimba msishangae Simba akipigwa na Galaxy ili Mangungu aachishwe uongozi na biashara za MO zifanikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…