Mo Dewji: Nimetoa 1.5b za usajili lakini haziendani na wachezaji waliosajiliwa

Mo Dewji: Nimetoa 1.5b za usajili lakini haziendani na wachezaji waliosajiliwa

Horoya fan

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
79
Reaction score
253
Akihojiwa na Grobal online tv, Raisi wa heshima wa Simba ambaye pia ndiye mwekezaji pekee wa klabu hiyo ndugu Mohamed Dewji ametoa majibu haya....

Swali: Kumekuwa na Taarifa kuwa kwenye Usajili Moo ametoa kiasi fulani lakini mchezaji anayesajiliwa sio wa kiwango hicho

Majibu: “Mwaka jana niliwapa Simba bilioni 1.5 ya usajili, lakini lazima tuelewe Wanasimba na Wanamichezo waelewe kila mtu ana fani yake.…
Mimi ni mfanyabiashara sio scout, tunawataalamu ndani ya Simba ambao wao wakihitaji pesa mimi huwa nawapa hizo pesa.

“Lakini makosa tayari yametokea, nasikia mambo kama hayo yapo lakini Mm sina evidence,” Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba Sc, Mohammed Dewji.

Cc #globalonlinetv
20230323_164351.jpg
 
Sio masimango, kawekeze wewe kama unaona anasimanga. Wewe 1.5b unafanya mchezo? Wachezaj wa 1.5b wapo wapi? Km mchezaji wa 300m tulimkosa, izo ela nani kazira?
Huyu naye tapeli, atuoneshe banki statement aliyodeposite hiyo 1.5B kwa ajili ya usajili? Anajiosha kwa kuwa huyo muandishi wa onlineTV hajitambui
 
Kwahiyo kama kaona panavuja asiseme
Sio masimango, kawekeze wewe kama unaona anasimanga. Wewe 1.5b unafanya mchezo? Wachezaj wa 1.5b wapo wapi? Km mchezaji wa 300m tulimkosa, izo ela nani kazira?
Hebu na nyinyi acheni upuuzi, sasa anavyokuja kulalamika kwenye media inasaidia Nini au anahitaji sympathy ya wanachama wajinga kama nyinyi

Mo ni shareholder mkubwa tu hapo Simba, kama katoa pesa zikapigwa amechukua hatua Gani? Yaani we unatoka pesa zinapigwa badala ya kuwajibisha watu unaenda kulia kulia kwenye media Uchwara

Kwa upuuzi huo hata msimu ujao akitoa pesa zitapigwa tu
 
Sass hapo kamsimanga Nani uto?

Mbona kamjibu mwandishi kutokana na swali alilouliza. Alafu mambo ya Simba utopolo Ndiyo huwa mnateseka sijui hiki kisokolokwinyo lini kitawaisha!!
Yaani badala ya kuwachukulia hatua hao wapigaji anakuja kulialia kwenye media, pumbavu
 
Kudadadeki,

Yaani Mo ka' Mama wa Kambo! Yaani anakupa ugali na masemango juu...

-Hapa ukitumwa hutaki lakini ukisia ugali tayari ndo wa kwanza...

-Yaani we mtoto mroho kweli, hata kutafuna chakula hutafuni, unasukumia tu ka' mzigo wa mavi kwenye choo cha shimo

-Lione linavyokombeleza mboga utadhani amenenunua shangazi yako

-Yaani unakula kama unafukuzwa. aaaaaargh!!

-Hata kunywa maji hutaki kwa sababu unaogopa utashiba haraka

-We mtoto mitonge yote hiyo, ikikukwama shingono nani unataka umsumbue?

-Liangalie linavyomwagika mijasho wakati wa kula utadhani mbeba zege

Dah! Blaza unazingua bhana!! CEO si alikuwa Da' Barbara lakini?! Ina maana ilikuwa hesabu yote wanayompelekea yeye anapitisha tu wakati tuliambiwa da' Barbara ni Kiboko ya Wapigaji pale Ukoloni Street?!
 
Kwa akili zako uliamini kabisa kuwa Kuna mchezaji anaweza kuacha kwenda ligi ya China aje huku mavumbini?
Kabla ya ilo dili la china, sisi tulimkosa kwa kushindwa kufika bei ambayo ndo iyo 300m, Sasa km hela iyo aliyosema moo ilikuwepo kwann tulishindwa kutoa? Viongozi wamepeleka izo fedha wapi?
 
Back
Top Bottom