Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

Mtapigwa makundi mpaka mtafukuza wenyewe
Nani wakutupiga?

Wakati wenzio baada ya kuona haya matokeo wameanza ibada za kuomba Mungu awaepusha wasipangwe group moja na Simba

Huku sisi tunasubiri ni nani mwenye bahati mbaya atayepangwa na sisi

Baada ya mechi yenu nitakuwa na wakati mzuri wa kujifunza maneno mapya ya kutia faraja
 
Back
Top Bottom