Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

sasa mgunda wampe mshahara mzuri kama wa wazungu labda waupnguze kidogo hiyo iliyopunguzwa iende kwa matola, na nyumba apewe masaki kabisaa na gari zuri la kutembelea na matibabu kwa familia yake
Kabisa wampe mshahara mil 20 match bonas ya million 4 kila mechi ya group stage. Fortuner kama gari la usafiri na apartment Masaki.
 
Back
Top Bottom