Mo Dewji Scholarship 2023 imefunguliwa rasmi.

Mo Dewji Scholarship 2023 imefunguliwa rasmi.

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Habari za muda huu wana Jf.

Kuelekea mwaka huu wa masomo kwa Mo Dewji foundation imetangaza mpango wa kudhamini wanafunzi unaofanyika kila mwaka wa masomo .Ni fursa kwa wahitimu wenye vigezo kuomba ambapo tarehe 9 mwezi huu watu waanza kuapply siku tatu zimebaki sasa ,ukipata hapo ahueni kubwa sana.

IMG-20231007-WA0020.jpg


Tutapeana updates humu ,msaada na miongozo kwa yatakayojiri.
 
nadhani hii scholarship ni kwa baadhi ya vyuo tu,sio vyuo vyote tanzania na zanzibar..namaanisha MOscholaship foundation ina specific university patners ambao wamekubaliana kutoa hzo scholarship,so kama umechaguliwa kwenye vyuo ambavyo sio patners wa MOscholarship hutopata scholarship..nmeona hvyo kwenye website yao..tembelea kuona pia
 
Mpaka tarehe 9 watu ndio watakuwa na uwezo wa kuapply ,sasa hivi imefunguliwa watu kusoma vigezo,kujiandaa na kuwa attention.

Maelezo zaidi tembelea website kwenye picha.
Kwa level zipi degree, masters,diploma
 
Back
Top Bottom