hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Wanakulipia yote, ila Ada yako iwe (1-1.5 M ), afu upande wa pesa ya matumizi wana budget ya 1.5M tu wakati heslb wana 2.6M kwa mwaka, nabado mashariti kibaoKwani kwenye ada hawakulipii yote??