Bora huo ufafhili apewe kiungo punda au auyubu akasomee ukipa pale LA masiaHuyu huyu wa wenzentu Makolo.
Sawa mkuuMpaka tarehe 9 watu ndio watakuwa na uwezo wa kuapply ,sasa hivi imefunguliwa watu kusoma vigezo,kujiandaa na kuwa attention.
Maelezo zaidi tembelea website kwenye picha.
Sema ni pesa ndogo wanatoa bora hata heslbHadi upate hapo ufanye kazi kweli kweli
Kwani kwenye ada hawakulipii yote??Sema ni pesa ndogo wanatoa bora hata heslb
Kwa level zipi degree, masters,diplomaMpaka tarehe 9 watu ndio watakuwa na uwezo wa kuapply ,sasa hivi imefunguliwa watu kusoma vigezo,kujiandaa na kuwa attention.
Maelezo zaidi tembelea website kwenye picha.
Ni nyingi kama hauna inaokoaSema ni pesa ndogo wanatoa bora hata heslb
Umeshawahi jaribuHadi upate hapo ufanye kazi kweli kweli
Sawa waislam waislam tu. Kama mwenzie nae wa lamba lamba anishindwa tu kuweka kigezo muhimu kuwa ni uwe islamicMO anajitahidi kuwa sehemu ya mafanikio ya watanzania wengi.