Mo Dewji Scholarship 2023 imefunguliwa rasmi.

Kwahiyo kama siyo mnufaika wa TASAF, ufadhili huu hupati?

Kuna watu wana kipato cha chini lakini si wanufaika wa TASAF, hawa wafie huko?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Haya wasomi waende wakasome,ila likija suala la ajira wasije kuanza kutusumbua.
 
Kwahiyo kama siyo mnufaika wa TASAF, ufadhili huu hupati?

Kuna watu wana kipato cha chini lakini si wanufaika wa TASAF, hawa wafie huko?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Sio lazima uwe mnufaika wa Tasaf hio ni kama kiambatanisho cha ziada katika kuongeza chance ya kupata .

Mtu anaweza akawa mnufaika wa Tasaf na akakosa vile vile kutoka na sababu mbalimbali.
 
Sawa waislam waislam tu. Kama mwenzie nae wa lamba lamba anishindwa tu kuweka kigezo muhimu kuwa ni uwe islamic
Hizi ni tuhuma usijaribu kuchafua watu bila ushahidi . Katika matajiri waislamu maarufu ambao naona hana kipaumbele sana mambo ya dini basi Mo naona namba moja hadi akaunti yake anapost sana vifungu vya bible dizain kama kahama dini hivi.
 
Rejea Makamba (Sr) akiwa jukwaani. Nadhani ndio anaongoza kusoma vifungu kuliko mwanaCCM yoyote pale Lumumba
 
MO has been a philanthropist for a very greater period of time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…