MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

MKUU sie tunataka ushindi tu, hayo mambo mengine hayatuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan wanasimba wengi hawaja elewa mfumo wa uwekezaji wa club yao ukwel ni kwamba Mo sio boss wa Simba yeye ni business partner ana miliki 49 percent Kwa thamani ya hizo 21B zake ambazo mpka sasa ni kizunguzungu
Mtaje mwanachama hata mmoja mwenye hisa pale mikiani kumzidi Mo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huu uzi mashabiki wa kwasukwasu wamegeuka washauri wa namna wanavyotaka simba iendeshwe...wamesahau kwao siku hizi GSM ndo wamekuwa benchi la ufundi la kusajili wachezaji
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu
 
Naona huu uzi mashabiki wa kwasukwasu wamegeuka washauri wa namna wanavyotaka simba iendeshwe...wamesahau kwao siku hizi GSM ndo wamekuwa benchi la ufundi la kusajili wachezaji
GSM bado hajapewa timu.

Uharu unaofanywa Simba itakuwa funzo kwa Yanga wakati wa mchakato. Kikubwa jambo moja muhimu lipo wazi kwa Yanga - hakuna kumpa timu mtu mmoja. Angalau wawe watatu.

Ni kuepuka vitendo kama vya Mo. Kawa mateka wa Bashite anaogopa siri za kuvalishwa kanga moja kuvuja.
 
Ni kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu?

Nakala okwi boban sunzu
Furaha kubwa kwangu kama mwanachama was simba ni kuona team inapata matokeo haya ya umiliki sinufaiki nayo ,mo aendelee kufanya afanyalo ila team ishinde tufurahi basi, this is Simba
 
Nmekusamehe sababu una endeshwa na mhemuko, nitaletaje story za Yanga hapa wkt hoja ni Mo shule yako ina mushikeri kidodo na kwa taarifa yako mimi sio mwanayanga ni ni fan's wa Mbeya city

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaah sasa fan wa mbeya city mambo ya simba yanakuhusu nini...peleka ushauri kwa litimu lako lisishuke daraja liko nafasi za mwisho kule..simba haikuhusu,huo ushauri peleka kwa kwasukwasu wenzio
 
Hahaaaah ila kapewa benchi la ufundi...tangu lini wadhamini ndo wanakuwa benchi la ufundi...sasa moo kama anafanya uharamia simba mbona wanaoteseka ni mashabiki wa kwasukwasu??
 
Hahaaaah ila kapewa benchi la ufundi...tangu lini wadhamini ndo wanakuwa benchi la ufundi...sasa moo kama anafanya uharamia simba mbona wanaoteseka ni mashabiki wa kwasukwasu??
Kiongozi, usisahau Mo alianza hivyo hivyo.

Tatizo mkaja kuwadharau akina Kilomoni ambao hawakupinga uwekezaji bali namna ilivyofanywa. Narudia, Yanga itajifunza kupitia makosa ya Simba.
 
Hahaaaah ila kapewa benchi la ufundi...tangu lini wadhamini ndo wanakuwa benchi la ufundi...sasa moo kama anafanya uharamia simba mbona wanaoteseka ni mashabiki wa kwasukwasu??
Umasikini ni kitu kibaya sana !
 
Sasa makonda na soka wapi na wapi ?

Hivi hata term za kwenye soka anazijua kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…