farharu
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 527
- 583
MKUU sie tunataka ushindi tu, hayo mambo mengine hayatuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuwa mwanamke akiwa anatafuta talaka basi atafanya vituko mimi sijawahi kumuamini Mo sio huu wakati wa Simba tu kabla na hii sasa imethibitisha. huyu jamaa ana chembechembe za unafiki na kupenda kutukuzwa hana malengo mazuri sio kwa Simba tu hata maisha ya kawaida. Inawezekana anatafuta sababu afukuzwe na Simba halafu aseme wamevunja mkataba sio mimi nawaacha nitudishiwe changu sababu matukio yamekuwa mengi sana. Simba ni wakati kujitafakati kwa kina je tunaenda njia sahihi au kuna shida kubwa huko mbeleni. Je kesho Mo akiwa hayupo ndio kusema Simba imeisha. Kesho atasema mkewe pia mshauri sasa imekuwa family business, nani ana mamlaka ya kuteuwa Mo au board??
Sent using Jamii Forums mobile app