MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

Ningechangia lakini mimi mpira wa bongo huwa nafuatilia siku ya mechi tu nje ya uwanja kwakweli nisiseme uongo nipo vibaya. Ngoja nisome comments tu.
 
Kwani Mo na simba si sawa na ilivo wasafi media na kusaga? Mo ndo mmiliki halali wa simba, nyie wengine ni wapiga kelele tu... kama mtabisha basi hata kusaga (mke wake) atakuwa sio mmiliki halali wa wasafi!
mwenye mali keshafanya yake kitambo.!
hahahaaah! huu mchezo hauhitaji hasira
 
Kiongozi, usisahau Mo alianza hivyo hivyo.

Tatizo mkaja kuwadharau akina Kilomoni ambao hawakupinga uwekezaji bali namna ilivyofanywa. Narudia, Yanga itajifunza kupitia makosa ya Simba.
Hahaaaah njaa fc mna tapatapa kuhusu mambo yasiyowahusu
 
Mkuu Simba ni ya MO ndiyo maana juzi alitikisa tu kiberiti mnaanza kulialia.......na inawezekana ilikuwa ni mkakati maana makonda kuna maneno alipost....ili aonekane kusaidia kumrudisha.

Acha muendelee kuburuzwa
 
dah mo alipoleta zake baada ya kupigwa na mtibwa nilikuja na maneno makali hapa nikaambulia ban ya wiki nzima leo ndo nimerudi sasa ila kauli mbiu ya jamii forum ina.maana.gani ikiwa kusema ya moyoni kidogo tu unakula ban

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo ndiye mmiliki halali wa simba tena nyie wenyewe mbulura fc ndiye mliye muuzia tim, akimteuwa mkee wake sawa, akimteuwa bwana ake sawa nyie hamna sehem yoyote ya kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…