Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa makonda na soka wapi na wapi ?
Hivi hata term za kwenye soka anazijua kweli ?
Huo ndio ukweli kaka....Kilomoni alikuwa na akili sana....Si kweli
Nani wa kumtimua..., Nani mwenye kumiliki hisa nyingi zaidi yake....Kwenye hili Mo anatafuta kutimuliwa Simba kiujanja
Ww in kip kilichokuuma?Ni kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu?
Nakala okwi boban sunzu
Hicho cheo hajapewa twiter kweliNi kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu?
Nakala okwi boban sunzu
Hahaaaah njaa fc mna tapatapa kuhusu mambo yasiyowahusuKiongozi, usisahau Mo alianza hivyo hivyo.
Tatizo mkaja kuwadharau akina Kilomoni ambao hawakupinga uwekezaji bali namna ilivyofanywa. Narudia, Yanga itajifunza kupitia makosa ya Simba.
Hujajibu swali shabiki la njaa fcUliza maswali yenye akili sio ujinga kama huo. Unakuwa akili ndogo kama Makonda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaaa kitu kibaya sana...inaweza sababisha binadamu ashindie matikitiUmasikini ni kitu kibaya sana !
Rage ni jiniasi
Hamna ujanja huo........juzi katishia nyau tu mkachanganyikiwa kama mazuzuKwenye hili Mo anatafuta kutimuliwa Simba kiujanja
Kama kwa faida ya timu yake...Mo yuko sahihi...msipangie nini cha kuamua ktk timu yake.Mo kafanya maamuzi ya hovyo sana.