Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #101
Ohoooo!!
Hao wenye hisa 51% labda wanamiliki hisa japo ni nyingi lkn hazijawa certified kama za Dewji za kwao hizo ni "Nominal" tu.Mo ana miliki 49 percent 51 wanamiliki wanachama inakuaje huyu mwenye percent ndogo ndio ana fanya maamuzi au mimi ndio kichwa changu kigumu kuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kuna bango nimeliona taifa'MANDODOCHA YA MO HAYOOOOO!!!!!! daa kweli utani wa jadi ni raha sana, na mo analisoma!!!Naona huu uzi mashabiki wa kwasukwasu wamegeuka washauri wa namna wanavyotaka simba iendeshwe...wamesahau kwao siku hizi GSM ndo wamekuwa benchi la ufundi la kusajili wachezaji
😆😆😆wewe kama hauna hela kazi yako ni kukata mauno uwanjani kushangilia kikosi kilichosajiliwa kwa pesa mingi kikimwaga burudani, usisahau mishahara ya mwezi mmoja bilioni kadhaa.
pesa ambayo hata ukipigiwa hesabu tangu ulipozaliwa hadi utapokufa hatutaifikia.
tulia hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
We una akili! Safi sana.Mo anataka kulazimisha kutekwa kwake kuwe kutekwa kwa Simba, hii haikubaliki.
Siku akitekwa tena asionekane milele utafurahia nini ?Hivi we shabiki wa unachofaidika nacho kwenye Simba ni nini zaidi ya matokeo mazuri uwanjani.
Mi acha Mo afanye yoyote anavyoona timu italeta matokeo mazr uwanjani mana hiyo ndo furaha yangu
Unaposema sijui ninachoongea una maana gani ?Mimi sio mshabiki wa simba. Ila kifupi hamuwezi kumtoa kirahisi hivyo. Na pia hujui unachoongea. Itoshe kusema hivyo
zile bil.20 alishatoa huyu mhindi au ndo somji somjiNi kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu?
Nakala : OKWI BOBAN SUNZU
hazijatolewa Mkwabi na Rage kwa nyakati tofauti waliwaambia Simba wasiache kuzidaizile bil.20 alishatoa huyu mhindi au ndo somji somji
Mkuu tukihoji tunaambiwa tunaharibu utulivu wa timuzile bil.20 alishatoa huyu mhindi au ndo somji somji
Thubutu !Mmeambiwa wana simba mmpigie kura magu sijui mnasemaje kwa hilo?