MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

Mo ana miliki 49 percent 51 wanamiliki wanachama inakuaje huyu mwenye percent ndogo ndio ana fanya maamuzi au mimi ndio kichwa changu kigumu kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wenye hisa 51% labda wanamiliki hisa japo ni nyingi lkn hazijawa certified kama za Dewji za kwao hizo ni "Nominal" tu.
 
Naona huu uzi mashabiki wa kwasukwasu wamegeuka washauri wa namna wanavyotaka simba iendeshwe...wamesahau kwao siku hizi GSM ndo wamekuwa benchi la ufundi la kusajili wachezaji
Jana kuna bango nimeliona taifa'MANDODOCHA YA MO HAYOOOOO!!!!!! daa kweli utani wa jadi ni raha sana, na mo analisoma!!!
 
wewe kama hauna hela kazi yako ni kukata mauno uwanjani kushangilia kikosi kilichosajiliwa kwa pesa mingi kikimwaga burudani, usisahau mishahara ya mwezi mmoja bilioni kadhaa.
pesa ambayo hata ukipigiwa hesabu tangu ulipozaliwa hadi utapokufa hatutaifikia.
tulia hivyo hivyo

😆😆😆
 
Hivi we shabiki wa unachofaidika nacho kwenye Simba ni nini zaidi ya matokeo mazuri uwanjani.
Mi acha Mo afanye yoyote anavyoona timu italeta matokeo mazr uwanjani mana hiyo ndo furaha yangu
 
Mimi sio mshabiki wa simba. Ila kifupi hamuwezi kumtoa kirahisi hivyo. Na pia hujui unachoongea. Itoshe kusema hivyo
 
Hivi we shabiki wa unachofaidika nacho kwenye Simba ni nini zaidi ya matokeo mazuri uwanjani.
Mi acha Mo afanye yoyote anavyoona timu italeta matokeo mazr uwanjani mana hiyo ndo furaha yangu
Siku akitekwa tena asionekane milele utafurahia nini ?
 
Back
Top Bottom