Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Majibu ya Dewji kuhusu kuangalia mechi za Yanga, kumuona Mshambuliaji Fiston Mayele na pengine kama anatamani asajiliwe Simba.
"Kwa bahati mbaya niwe mkweli mimi sifuatilii sana mechi za Yanga "
"Sijamuona kwenye mechi lakini namsikia namuona kwenye mitandao, naona clips zake anavyofunga magoli nampongeza ni Mchezaji mzuri sana na namuombea kila la kheri"
" Mimi siwezi kuongea kutokana na mkataba wake na Yanga lakini unajua Simba tupo tayari kujaribu kumpata Mchezaji bora popote Afrika , kama atakuwa ameorodheshwa na kama mkataba wake yupo tayari kuvunja na Yanga kuja Simba basi Simba itakuwa tayari lakini ni baada ya Benchi la ufundi na Scout wakikubaliana nalo " -
Mo Dewji