Mo Dewji: Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu

Mo Dewji: Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
Katika Mkutano wa klabu ya simba leo mwekezaji wa klabu hiyo ameeza kuwa haridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. amefafanua kuwa amekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia.

Aiha, Mo Dewji amesema "Niwaambie wachezaji wote, Simba ni klabu kubwa kweli kweli, tena kubwa hasa, na hakuna shaka ni namba moja Afrika Mashariki, bodi ninayoiongoza mimi haitavumilia mchezaji yoyote asiyejua thamani ya Simba. Kuonyana onyana sasa imetosha."-

d.jpg
 
Kuna shida gan nje ya uwanja?

Au wachezaji wetu wanatembea na wake za watu?
 
Kuna watu watatemwa tena kwa sababu wao ndio sababu hivyo hawatalipwa fidia
 
!
!
Halafu Linakuja Jinga Moja La Chadema Linasema Selikali Ya Sisiemu Haijafanya..... Umeona Nidhamu?
 
Tatizo inazungumzwa klabu ni kubwa lakini ni ukuubwa wa maneno na umri ila si katika uhalisia.
Kiuhalisia kwa klabu za afrika ni klabu ya kawaida sana, kwa hili nisiwe mnafki. Tunatolewaje na ud songo mapema tu. Tuliofika nao makundi msimu uliopita karibu wote wamesonga mbele tena msimu huu.
 
Ndio maana kocha kaadhibiwa
 
Kuna shida gan nje ya uwanja?

Au wachezaji wetu wanatembea na wake za watu?
Wanatoroka kambini wanaenda disco, wanatembea na wake za watu😂😂😂😂😂
 
Hivi mods why mmefunga ile uzi ya Mo kujiuzulu kukanusha?Mods jamani mmenisikitisha sana.
 
Back
Top Bottom