Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Katika Mkutano wa klabu ya simba leo mwekezaji wa klabu hiyo ameeza kuwa haridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. amefafanua kuwa amekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia.
Aiha, Mo Dewji amesema "Niwaambie wachezaji wote, Simba ni klabu kubwa kweli kweli, tena kubwa hasa, na hakuna shaka ni namba moja Afrika Mashariki, bodi ninayoiongoza mimi haitavumilia mchezaji yoyote asiyejua thamani ya Simba. Kuonyana onyana sasa imetosha."-