Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Ndio maana kocha kaadhibiwaTatizo inazungumzwa klabu ni kubwa lakini ni ukuubwa wa maneno na umri ila si katika uhalisia.
Kiuhalisia kwa klabu za afrika ni klabu ya kawaida sana, kwa hili nisiwe mnafki. Tunatolewaje na ud songo mapema tu. Tuliofika nao makundi msimu uliopita karibu wote wamesonga mbele tena msimu huu.
Ila na nyie Simba mnaboa yaani Manara ndio yupo kwenye think tank ya Simba.Soka la kibongo wachezaji wengi hawajui thamani ya vipaji vyao
Huwa anaboa sanaIla na nyie Simba mnaboa yaani Manara ndio yupo kwenye think tank ya Simba.
Wanatoroka kambini wanaenda disco, wanatembea na wake za watuπππππKuna shida gan nje ya uwanja?
Au wachezaji wetu wanatembea na wake za watu?
Hahahaa, naona wanamtafuta mchawi sasa..Kuna shida gan nje ya uwanja?
Au wachezaji wetu wanatembea na wake za watu?