Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Tena anasema tema ye2..najiuliza team yake yy na nan..yan sisi walala hoi uwa tunamatatz sana ww team inapata mafanikio unafurah tu unajua struggle iliyo behind..kama hujui shangilia au zomea basi..sio analeta.porojo eti hatuachie team yetu..wakisema hata alipie mfagiaji tu ataweza?..binadamu sisi kazi sana.Sipendangi mangese yaivi ivi umewahi kuchangia shingapi kwenye klabu? Mijitu ya ivi ata ukiyajibu ni kupoteza mda tu
Wewe mtopolo haya ya huku hayakuhusu. Jiandaeni kwenda kupokea wachezaji wenu wa mafunguHuyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.
Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.
Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Mnara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.
Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20
Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nyani wa pori la Utopolo baada ya kukosa ubingwa wanajaribu kuchochea mgogoro, pumbavu sana hawa viumbeMo Dewji Sisi wana Simba SC wenye Akili tunakupenda na ukiweza tuko tayari hata Kukumilikisha Timu yote ili uendelee kutupa Furaha ya Vikombe na Mafanikio.
20B anamlipa nani? Wewe unapata mgawo wowote?
Mpira ni sawa na siasa, hakuna uadui wa kudumu yaheNipo tu nimetulia hapa nakula[emoji897]zangu huku nikiangalia namna Team Moo na Team Haji Manara wanavyo paruana!!
Eti wengine wanasema aje Yanga!! Yaani akiajiriwa Yanga yule mpuuzi, nahama timu kwa mara ya kwanza. Kwa matusi na kejeli zote zile!! Huo upumbavu hauwezi kufanywa na Kiongozi yeyote yule pale Jangwani.
Justine, nina mashaka na matumizi ya 'medula obulangata' yako. Unajifanya uoni matunda ya uwepo wa Mo pale SIMBA?. Unataka timu irudiswe kwa wananchi ambao hawana uwezo hata wa kununua jersey original ya Tshs. 30,000!. Utakuwa umetumwa au una shida mahalaHuyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.
Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.
Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Mnara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.
Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20
Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wewe unachangia shilingi ngapi kwenye club.Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.

Hiyo comment ya mtu ambaye kumiliki mbwa wawili hawezi"Billion 20 ni nyingi braza, unaweza kufungua bank " alisikika muwekezaji wa mbumbumbu fc
Tupo pamoja mkuu hawa wapuuzi wameanza chokochoko na umbea wao simba ikiwa kwenye msoto hatuwaoni hawa mbwaMo Dewji Sisi wana Simba SC wenye Akili tunakupenda na ukiweza tuko tayari hata Kukumilikisha Timu yote ili uendelee kutupa Furaha ya Vikombe na Mafanikio.
Hiyo ni kauli Ya Mo dewji mwenyeweHiyo comment ya mtu ambaye kumiliki mbwa wawili hawezi