mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya amewaachia kachukueni enyi utopolo
Ila Kuondoka kwa manara pigo kubwa xanaWe unateseka ukiwa wapi?
Mo haondiki simba na simba tunamtaka Mo piga kazi baba tuletee furah msimbazi
Pigo lipi kwani anatoa pesa?Ila Kuondoka kwa manara pigo kubwa xana
Utopolo mnatapatapa haya nendeni mkashitaki CAS ili Mo aondolewe SimbaHuyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.
Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.
Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Manara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.
Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20.
Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja
SawaHapo ulipo hata kupanga kachumba kamoja tu umeshindwa unaishi kwa dada yako,ndiyo utaweza kujua thamani ya hela?
Nina Simbilisi mkuu......then ni maneno ya Mwamedi ,mimi nimenukuu tuHiyo comment ya mtu ambaye kumiliki mbwa wawili hawezi
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.
Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.
Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Manara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.
Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20.
Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja
[emoji23]Nyie michepuko ya haji mnahangaika. Wewe na haji mna team gani? Hata umewahi wanunulia maji wachezaji wa simba? Kama unampenda sana haji mzalie mtoto basi. MO AICHUKUE SIMBA YOTE YOTE KABISA. Njaa inatawaua. Mnazitaka sana hizo 20 Billion eeeeh? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tafuta bwana mwingine.
Tena ingekuwa vizuri timu tumpe iwe yake kabisa..Yanga huyu jamaa wanamchukia sana, kawakosesha furaha miaka minne mfululizo .. anyway shabiki hamna anachokitaka zaidi ya furaha na burudanj ya soka hayo mengine waachieni wenyewe .. mo ataendelea kubaki Simba, wenye kuteseka semeni kabisa mnateseka mkiwa wapi ..