Mo Dewji tuachie timu yetu

ndio maaana mpira wa Kibongo kamwe hauwezi kukuwa wala kuendelea maaana wabongo wanajua kuchonga maneno zaidi kuliko........
kazi ya wabongo ni kupiga majungu na fitina soka tuwaachie wenyewe.
 
Unayelalamika huwezi hata kununua jezi ya Simba, ukiachiwa hii taasisi utaipeleka wapi?

Nadhani wewe Ni utopolo United!

Toka Mo aanze kuweka pesa yake Simba tunafurahia team nzuri yenye wachezaji wenye uwezo na ushindi mara nyingi.

Mimi Kama shabiki nahitaji furaha ya ushindi tu na wala sihitaji mgao wa pesa.

Acheni wenye pesa wawekeze, nyie bakini kushangilia tu.

I stand with MO Dewji [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji966][emoji966][emoji966][emoji966]
 
We unateseka ukiwa wapi?





Mo haondiki simba na simba tunamtaka Mo piga kazi baba tuletee furah msimbazi
 
Timu yako na nani?, za kwako ulizoweka zikowapi
 
Utopolo mnatapatapa haya nendeni mkashitaki CAS ili Mo aondolewe Simba
 
Hivi na yeye hana say kwenye hio timu yenu ?

Au timu ni yenu, yeye hayumo ? au ni yenu nyote na yeye akiwemo ?
 
Nyie michepuko ya haji mnahangaika. Wewe na haji mna team gani? Hata umewahi wanunulia maji wachezaji wa simba? Kama unampenda sana haji mzalie mtoto basi. MO AICHUKUE SIMBA YOTE YOTE KABISA. Njaa inatawaua. Mnazitaka sana hizo 20 Billion eeeeh? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Tafuta bwana mwingine.

 
[emoji23]
 
Acha ujinga wakati anainunua timu ulikuwa wapi unaibuka sasa atuachie timu yetu yenu nanani? Ni wachezaji wangapi umewanunua au unaweza kuwalipa mshahara hata wa siku moja kenge wee! unabwabwaja tuu..wewe unafikiri kwa mwezi anatumia kiasi gani? au ukiambiwa fedha alizotumia wakati timu inashiriki mashindano ya kimataifa unaweza kulinganisha na hako ka bilioni 20? Mnataka timu iendelee kuendeshwa kienyeji ili muwe mnapiga pesa ? Dude zima na kitambi mjini halina kazi ni kupiga kelele za mpira kwenye timu za watu ili mpate chochote..Kiboko yenu barbara kathibiti mspato yote hakitoki kitu hapo mvimbe, mpasuke wembe ni ule ule
 
Tena ingekuwa vizuri timu tumpe iwe yake kabisa..
 
Reactions: mmh
Hamna akili, kama mnampenda Manara mfuateni popote atakapokwenda, ikibidi mkawe ma house girl wake mumuoshee vyombo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…